Category: Habari mpya

SUA ILIVYOSHIRIKI WIKI YA MAONESHO YA NANENANE 2024 KANDA YA MASHARIKI

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeshiriki kikamilifu katika  maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere katika Manispaa ya Morogoro. Zaidi ya washiriki 74 kutoka Ndaki, Idara, Kurugenzi na Vitengo mbalimbali vilivyopo ndani ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo walionesha bunifu zao.Pia miradi  na tafiti kadha wa kadha kutoka […]

Read More

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilivyosherehekea Ushindi wa Kishindo katika Maonesho ya Nanenane Mwaka 2022, Morogoro, Tanzania

Linapokuja suala la utekelezaji wa majukumu ya msingi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo hiki kinahakikisha, wakati wote, kinapeperusha bendera ya Chuo katika viwango vya ubora wa hali ya juu. Ili kuendena na dira ya SUA ya kuwa kiongozi katika mafunzo, utafiti, ugani na huduma, Jumuiya ya SUA, kama sehemu ya kutekeleza […]

Read More

SUA na SWISSCONTACT Zaimarisha Ujuzi na Ajira kwa Vijana katika Kilimo cha Bustani Manispaa ya Morogoro

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kimeendelea kueneza kwa jamii ya watanzania na ulimwengu kwa ujumla elimu, maarifa, ujuzi, teknolojia na bunifu mbalimbali zinazozalishwa SUA, na kwa kushirikiana na wadau wengine, hususani SWISSCONTACT katika andiko hili. Picha: Baadhi ya vijana waliopata mafunzo wakiendelea na shughuli ya kutunza […]

Read More

Habari ya kufurahisha kutoka Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), SUA

Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza, (ICE), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), inayo furaha kubwa kuwaarifu kuwa ICE itaendesha mafunzo mahsusi ya muda mfupi kuhusu “Uzalishaji na Utunzaji wa Malisho ya Mifugo” yatakayotolewa kwa mfanyakazi kutoka katika Serikali ya Zambia kuanzia tarehe 18 hadi 22 Aprili 2022. Tunaamini kuwa mafunzo haya yatafungua fursa nyingi […]

Read More

Maonesho ya Teknolojia, Bunifu, Tafiti na Mkutano wa Kisayansi Yatia fora katika Wiki ya Kumbukizi ya Sokoine, SUA, Morogoro, Tanzania

Kutoka kwenye sakafu ya moyo, pongezi nyingi ziwaendee Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Wanasayansi na Wadau wote wa SUA kwa mafanikio yaliyopatikana katika maonesho ya kuvutia sana ya teknolojia, bunifu na kongamano la kisayansi wakati wa wiki ya Kumbukizi ya Sokoine hapa chuoni kwetu. Pongezi nyingi kwa Kurugenzi ya Uzamili, Utafiti, […]

Read More
Correct 1

SUA yaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wa Dodoma

Katika juhudi za kuimarisha ufikiaji kwa jamii nyingi nchini Tanzania, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinaanzisha mafunzo juu ya biashara ya kilimo cha bustani na kuku kwa ujiajiri wa vijana katika Mkoa wa Dodoma. Mbali na jukumu la uongozi wa SUA katika mafunzo haya ya ujana ya vijana, kozi fupi zinajumuisha Shirika la […]

Read More