Author: Philipo James

SUA ILIVYOSHIRIKI WIKI YA MAONESHO YA NANENANE 2024 KANDA YA MASHARIKI

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeshiriki kikamilifu katika  maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere katika Manispaa ya Morogoro. Zaidi ya washiriki 74 kutoka Ndaki, Idara, Kurugenzi na Vitengo mbalimbali vilivyopo ndani ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo walionesha bunifu zao.Pia miradi  na tafiti kadha wa kadha kutoka […]

Read More