Linapokuja suala la utekelezaji wa majukumu ya msingi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo hiki kinahakikisha, wakati wote, kinapeperusha bendera ya Chuo katika viwango vya ubora wa hali ya juu. Ili kuendena na dira ya SUA ya kuwa kiongozi katika mafunzo, utafiti, ugani na huduma, Jumuiya ya SUA, kama sehemu ya kutekeleza […]
Read MoreChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kimeendelea kueneza kwa jamii ya watanzania na ulimwengu kwa ujumla elimu, maarifa, ujuzi, teknolojia na bunifu mbalimbali zinazozalishwa SUA, na kwa kushirikiana na wadau wengine, hususani SWISSCONTACT katika andiko hili. Picha: Baadhi ya vijana waliopata mafunzo wakiendelea na shughuli ya kutunza […]
Read MoreChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), waliotoa ufadhili wa fedha, walitoa mafunzo ya muda mfupi kuhusu Ufugaji wa Kuku, na Uzalishaji na Utunzaji wa Miche ya Matunda Kibiashara mkoani Dodoma ili kuwapatia ujuzi wa […]
Read MoreTaasisi ya Elimu ya Kujiendeleza, (ICE), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), inayo furaha kubwa kuwaarifu kuwa ICE itaendesha mafunzo mahsusi ya muda mfupi kuhusu “Uzalishaji na Utunzaji wa Malisho ya Mifugo” yatakayotolewa kwa mfanyakazi kutoka katika Serikali ya Zambia kuanzia tarehe 18 hadi 22 Aprili 2022. Tunaamini kuwa mafunzo haya yatafungua fursa nyingi […]
Read MoreMoja ya majukumu ya Taasisi ya Elimu ya Kijiendeleza (ICE), katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ni kutoa mafunzo ya muda mfupi. Kwa kutoa mifano michache tu, mafunzo hayo ya muda mfupi huandaliwa kwa ajili ya kuwanufaisha wadau wa aina mbalimbali wakiwemo wakulima wa mazao, wafugaji, wajariliamali, watafiti, watunga sera, maafisa ugani, maafisa wa […]
Read MoreKutoka kwenye sakafu ya moyo, pongezi nyingi ziwaendee Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Wanasayansi na Wadau wote wa SUA kwa mafanikio yaliyopatikana katika maonesho ya kuvutia sana ya teknolojia, bunifu na kongamano la kisayansi wakati wa wiki ya Kumbukizi ya Sokoine hapa chuoni kwetu. Pongezi nyingi kwa Kurugenzi ya Uzamili, Utafiti, […]
Read More1. Utangulizi Ufikiaji wa matokeo tarajiwa ya mafunzo ya muda mfupi ya ufugaji wa kuku yanayotolewa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) ni jambo muhimu linalopendwa na SUA pamoja na washiriki wa mafunzo wanaotoka katika jamii yetu. Makala hii (ambayo pia ipo katika lugha ya Kiingereza […]
Read More