ICE NEWS

Exciting interaction between local communities, livestock and wildlife in Ngorongoro conservation area in Tanzania

Who said human beings are not animals? From classification biology of living things, we learn that human beings belong to animal kingdom. Please wait! This article is not about biology; rather it is about exciting and innovative interaction between human beings, livestock and wildlife in Ngorongoro conservation area (NCA). The interaction goes beyond conventional thinking about conservation of natural resources. This article was inspired by the visit of Sokoine University of Agriculture (SUA) in September 2018 at Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), which aimed at strengthening collaboration among the two organizations on outreach activities. The university was represented by the Institute of Continuing Education (ICE) and Southern African Centre for Infectious Diseases Surveillance (SACIDS).

maasai children near grazing livestock around in Ngorongoro Conservation Area TanzaniaA photo showing maasai children near grazing livestock around 17.00 EAT, Sept. 2018 in Ngorongoro Conservation Area, Tanzania (Consent sought)

maasai houses in Ngorongoro Conservation Area Tanzania

A photo showing maasai houses in Ngorongoro Conservation Area, Tanzania

Conventionally, ideas and practices about conservation of wildlife have centered on separating wildlife from human beings. Yet, we understand from traditional life (prior the western ideas of fines and fencing), the separation of human beings from wildlife resources was not common. For example, traditional management and uses allowed the interaction of hunters and gatherers with natural resources including wildlife.

wildlife zebra and maasai livestock grazing together in Ngorongoro Conservation Area TanzaniajpgA photo showing wildlife (zebra) and maasai livestock grazing together in Ngorongoro Conservation Area, Tanzania.

The Ngorongoro Conservation Areas (NCA) provides an example where external ideas are adapted instead of being adopted as blue prints. Such adaptation respects and embraces multiple interests of local communities including livelihood practices of livestock keepers and conservation at the same time, rather than advocating external perspectives and practices alone, which may not suit social-cultural local context. Combination of multiple uses in NCA is an innovative and middle ground practice that needs sustaining and applied in other similar situations for the benefit of local communities and conservation of wildlife resources.

maasai children during break time around at a primary school located within the surroundings of NCAA Head Quarter

A photo showing maasai children during break time around 10.00 EAT at a primary school located within the surroundings of NCAA Head Quarters (All photos in this article by Dr. Innocent Babili, September 2018)

By
Dr. Innocent H. Babili, Institute of Continuing Education (ICE) - SUA.
For comments, write to   This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Highlighting the Training for Fish Farming entrepreneurs at Sokoine University of Agriculture

Sokoine University of Agriculture (SUA) has successfully conducted a short course for fish farming entrepreneurs drawn. The training was conducted from 2nd to 5th May, 2018 and involved 30 participants including five female. Participants from Morogoro were 22 while participants from Mwanza were three. Kigoma, Dodoma, Mara, Arusha and Kilimanjaro each had one participant. The training used theoretical orientation that was conducted at the Institute of Continuing Education (ICE) Conference Hall and practical, which was conducted at Magadu Farm. 

Read more ...

SUA yampongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA kwa kupata tuzo

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza ICE kimepongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA Bw. Calvin Edward Gwabara kwa kuibuka kidedea katika Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande wa Radio, tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT 2017.

Read more ...

Mwandishi wa SUAMEDIA Calvin Gwabara aibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo

Mwandishi wa SUAMEDIA Calvin Edward Gwabara ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande wa Radio katika tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT 2017. Mwandishi huyo Mwandamizi katika habari za Kilimo amepata Tuzo, Cheti na Zawadi ya fedha, kama mshindi wa Kwanza katika kipengele hicho. Katika tuzo hizo zaidi ya waandishi wa habari 470 kutoka vyombo tofautitofauti vya habari nchini walishiriki na baadae kuchujwa na kubakia 47 ambao waliingia kwenye fainali za kuwania tuzo hizo katika vipengele mbalimbali.
Read more ...

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuimarisha matumizi ya SUAMEDIA ili kuchochea maendeleo ya kilimo na ufugaji nchini

Katika kuhakikisha Elimu itolewayo na SUA inawafikia wadau wengi hasa wakulima na wafugaji, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) inaendelea kujiimarisha katika kutoa huduma bora za ugani kupitia vipindi vya SUATV na SUAFM Radio.

Akizungumza katika kikao cha kamati ya ugani ya SUA (SUA Outreach Committee), Kaimu Mkurugenzi, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (Institute of Continuing Education- ICE) Dr. Innocent H. Babili alisema Chuo kinakamilisha utaratibu wa kurusha vipindi vya SUATV kupitia ving’amuzi vingi zaidi ili kuwafikia wadau wengi na hivyo SUA kuchangia katika kuboresha mbinu na kuongeza uzalishaji na tija katika kilimo na ufugaji.

Aidha kitengo cha SUAMEDIA, ambacho ni sehemu ya ICE, kimeanza kupanua huduma zake kwa kushirikiana na wadau wengine hususani radio Clouds FM na TBC FM ambazo zimekuwa zikirusha vipindi vya SUAMEDIA kwa lengo la kukitangaza Chuo na shughuli zake nchini.

Katika kuhakikisha kuwa SUAMEDIA inakuwa na vipindi vingi vya kitaaluma na vyenye ushawishi wa mabadiliko ya teknolojia kwa wakulima na wafugaji, Kamati ya ugani ya SUA imewataka watafiti na wakuu wa ndaki, shule kuu, taasisi, vituo, idara na vitengo mbalimbali kushirikiana kwa karibu na SUAMEDIA katika kutengeneza vipindi ambavyo vitarushwa kupitia SUA TV  na  SUA FM.

Read more ...

Katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia apongeza jitihada zinazofanywa na SUA

Katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia Dr. Leonard Akwilapo amepongeza jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Chuo kikuu cha sokoine cha Kilimo SUA kwa kushirikiana na serikali katika kuboresha miondombinu chuoni hapo.

Katibu mkuu huyo ameyesema hayo wakati akikagua jingo jipya la kulia chakula wananfunzi na wafanyakazi wa chuo linalojengwa kwa fedha za serikali kupitia wizara hiyo  pamoja na miundombinu ya umwagiliaji inayojengwa kwaajili ya kuwezesha upatikanaji wa maji ya kumwagilia bustani na mashamba ya chuo kama sehemu ya kufundishia wanafunzi na wakulima nchini.

Read more ...

Partnership between Sokoine University of Agriculture (SUA) and China Agricultural University (CAU) in the making

Sokoine University of Agriculture (SUA) and China Agricultural University (CAU) held a meeting at SUA main campus, Morogoro, Tanzania on 21st December 2017 during a visit of the CAU from Beijing China. The meeting aimed at identifying areas of collaboration between the two universities for increasing academic excellence of these institutions and enhancing agricultural development in Tanzania The meeting aimed at identifying areas of collaboration between the two universities for increasing academic excellence of these institutions and enhancing agricultural development in Tanzania.

Read more ...

Sokoine University of Agriculture Conquers 2017 Agricultural Shows

The Sokoine University of Agriculture (SUA) participated in the annual Eastern Zone Agricultural (Nanenane) shows, which was officially opened by Hon. Prof. Jumanne Maghembe, the Minister for Natural Resources and Tourism (MP), on 1st of August 2017, and officially closed on 8th August 2017 by the Deputy Minister for Health, Community Development, Gender Elderly and Children, Hon. Dr. Hamisi Kigwangala (MP).

Read more ...