SHORT COURSE ON HORTICULTURAL PLANT PROPAGATION INFORMATION BRIEF Sokoine University of Agriculture (SUA) will offer a short course on horticulture because of its huge potential for wealth and job creation across many areas in Tanzania. Horticultural business has therefore the potential of positive impact on the socio economic wellbeing of millions of farm families and […]
Read MoreWho said human beings are not animals? From classification biology of living things, we learn that human beings belong to animal kingdom. Please wait! This article is not about biology; rather it is about exciting and innovative interaction between human beings, livestock and wildlife in Ngorongoro conservation area (NCA). The interaction goes beyond conventional thinking […]
Read MoreMwandishi wa Habari wa SUAMEDIA,Calvin Edward Gwabara ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Televisheni kwenye tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari za mazao lishe na Lishe Nchini na kuwabwaga waandishi kutoka vyombo vingine vya habari nchini kwenye upande wa Televisheni.
Read MoreSokoine University of Agriculture (SUA) has successfully conducted a short course for fish farming entrepreneurs drawn. The training was conducted from 2nd to 5th May, 2018 and involved 30 participants including five female. Participants from Morogoro were 22 while participants from Mwanza were three. Kigoma, Dodoma, Mara, Arusha and Kilimanjaro each had one participant. The training […]
Read MoreChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza ICE kimepongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA Bw. Calvin Edward Gwabara kwa kuibuka kidedea katika Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande wa Radio, tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT 2017.
Read MoreMwandishi wa SUAMEDIA Calvin Edward Gwabara ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande wa Radio katika tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT 2017. Mwandishi huyo Mwandamizi katika habari za Kilimo amepata Tuzo, Cheti na Zawadi ya fedha, kama mshindi wa Kwanza katika kipengele hicho. Katika […]
Read MoreChuo kikuu cha sokoine cha kilimo kwa kupitia idara ya sayansi ya wanyama,viumbe maji na malisho kimeandaa mafunzo ya ufugaji wa samaki yatakayofanyika kuanzia tarehe 02/05/2018 hadi tarehe 05/05/2018 katika ukumbi wa ICE uliopo kampasi kuu ya SUA Ili kushiriki katika mafunzo haya mshiriki anatakiwa Awe na uhitaji endelevu na nia ya dhati ya kutaka […]
Read MoreKatika kuhakikisha Elimu itolewayo na SUA inawafikia wadau wengi hasa wakulima na wafugaji, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) inaendelea kujiimarisha katika kutoa huduma bora za ugani kupitia vipindi vya SUATV na SUAFM Radio. Akizungumza katika kikao cha kamati ya ugani ya SUA (SUA Outreach Committee), Kaimu Mkurugenzi, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (Institute of […]
Read MoreWaziri wa katiba na sheria Prof. Palamagamba Kabudi ameupongeza uongozi wa Chuo Kikukuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kwa jitihada zake inazozifanya za kupanua wigo na kozi zinazofundishwa chuoni hapo na mkakati wake wa kukipeleka chuo kwa jamii ili kunufaika na matunda ya tafiti na teknolojia zinazozalishwa chuoni hapo.
Read MoreKatibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia Dr. Leonard Akwilapo amepongeza jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Chuo kikuu cha sokoine cha Kilimo SUA kwa kushirikiana na serikali katika kuboresha miondombinu chuoni hapo. Katibu mkuu huyo ameyesema hayo wakati akikagua jingo jipya la kulia chakula wananfunzi na wafanyakazi wa chuo linalojengwa kwa fedha za serikali […]
Read More