Author: Philipo James

WAHITIMU WA MAFUNZO YA UFUGAJI BORA WA SAMAKI WAIPONGEZA SUA.

Wahitimu wa kozi ya mafunzo ya ufugaji bora wa samaki wamekipongeza chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo(SUA) kwa juhudi zake za kutoa mafunzo yenye tija kwa jamii akizungumza kwa niaba ya wahitimu wenzake Bw.Emmanuel Lyaruu amesema tunatoa pongezi zetu nyingi kwa wakufunzi wetu na uongozi mzima wa Chuo hiki kwa kutupatia mafunzo haya ya ufugaji […]

Read More

SUA ILIVYOSHIRIKI WIKI YA MAONESHO YA NANENANE 2024 KANDA YA MASHARIKI

Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kimeshiriki kikamilifu katika maonesho ya kilimo, mifugo na uvuvi yaliyofanyika kanda ya mashariki inayojumuisha mikoa minne(4) (Morogoro,Pwani, Dar es salaam na Tanga).Maarufu kama maonesho ya  Nanenane. Kama ilivyokawaida tangu kuanzishwa kwake, maonyesho haya yanafanyika katika viwanja vya Mwl. Julius. K. Nyerere vilivyopo katika Manispaa ya Morogoro. Kauli mbiu […]

Read More

ICE-SUA Yaendesha Mafunzo ya Ufugaji Bora wa Kuku

Taasisi ya Elimu ya kujiendeleza ICE kwa niaba ya chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kupitia mradi wa Elimu ya juu kwa mabadiliko ya kiuchumi (HEET) iliendesha mafunzo ya muda mfupi ya siku nne(4) kwa wajasiliamali na wafugaji juu ya ufugaji wenye tija wa kuku.Mafunzo hayo yaliyofanyika kuanzia tarehe 29/01/2024 hadi tarehe 01/02/2024 katika ukumbi wa Girrafe […]

Read More