Author: noel

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuimarisha matumizi ya SUAMEDIA ili kuchochea maendeleo ya kilimo na ufugaji nchini

Katika kuhakikisha Elimu itolewayo na SUA inawafikia wadau wengi hasa wakulima na wafugaji, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) inaendelea kujiimarisha katika kutoa huduma bora za ugani kupitia vipindi vya SUATV na SUAFM Radio. Akizungumza katika kikao cha kamati ya ugani ya SUA (SUA Outreach Committee), Kaimu Mkurugenzi, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (Institute of […]

Read More

Katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia apongeza jitihada zinazofanywa na SUA

Katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia Dr. Leonard Akwilapo amepongeza jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Chuo kikuu cha sokoine cha Kilimo SUA kwa kushirikiana na serikali katika kuboresha miondombinu chuoni hapo. Katibu mkuu huyo ameyesema hayo wakati akikagua jingo jipya la kulia chakula wananfunzi na wafanyakazi wa chuo linalojengwa kwa fedha za serikali […]

Read More

ICE NA SUAMEDIA NI KITOVU CHA UGANI

Ugani (Outreach) ni moja ya majukumu makuu ya manne ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA), ambayo hujumuisha mafunzo, utafiti na huduma kwa jamii. Chuo hiki hutekeleza majukumu yake ya ugani kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), ambayo ndiyo kiungo cha SUA na wadau mbalimbali ndani na nje ya Chuo.

Read More

Partnership between Sokoine University of Agriculture (SUA) and China Agricultural University (CAU) in the making

Sokoine University of Agriculture (SUA) and China Agricultural University (CAU) held a meeting at SUA main campus, Morogoro, Tanzania on 21st December 2017 during a visit of the CAU from Beijing China. The meeting aimed at identifying areas of collaboration between the two universities for increasing academic excellence of these institutions and enhancing agricultural development in […]

Read More

Sokoine University of Agriculture Conquers 2017 Agricultural Shows

The Sokoine University of Agriculture (SUA) participated in the annual Eastern Zone Agricultural (Nanenane) shows, which was officially opened by Hon. Prof. Jumanne Maghembe, the Minister for Natural Resources and Tourism (MP), on 1st of August 2017, and officially closed on 8th August 2017 by the Deputy Minister for Health, Community Development, Gender Elderly and […]

Read More